Nguvu isiyoonekana

Hizo huwa ni mali zinazopatikana baada ya kutoa kafara... Hivyo jicho la tatu huona zaidi ya kuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana me naomba unielekeze kwa mganga ambaye atanisaidi kweli kabisaa, kama inawezekana, maana hapa jirani kuna mwenzangu naye ana duka lake, naona ananifanyia vimbwanga kila leo, ndani ya duka nakuta vitu vya ajabu kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna haja ya kwenda kwa mganga utaishia kutapeliwa mwaga chumvi weka ndimu... Kwisha habari yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…