Kuna mmea unaitwa mdindifu nadhani hapo zinapatikana kwa wingi sanaHivi bro hizi nguvu mnazoita za kiume zinapatikana kijiji gani mkuu? Na zinafananaje?
Swali la nyongeza mhe. mshana jr na hizo nguvu kwanini zikae kwenye mmea ulioutaja kwenye kiambatanisho wakati zilitakiwa zikae kwa mwanaume?Kuna mmea unaitwa mdindifu nadhani hapo zinapatikana kwa wingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni boosterSwali la nyongeza mhe. mshana jr na hizo nguvu kwanini zikae kwenye mmea ulioutaja kwenye kiambatanisho wakati zilitakiwa zikae kwa mwanaume?
Mshana Jr, I truly wish to have a short consultation from you kama hutojali..
KaribuMshana Jr, I truly wish to have a short consultation from you kama hutojali..
bahati mbaya sijafaham utaratibu wa kuingia pm, its a little bit confidential! I'm a new member japo ni msoma mada jf kwa miaka mingi tu. so waweza pia nielekeza how to get into pm (natumia simu) With thanks.
Bofya avatar yangu kila utaona logo ya msg bofya tena hiyo kisha fuata maelezobahati mbaya sijafaham utaratibu wa kuingia pm, its a little bit confidential! I'm a new member japo ni msoma mada jf kwa miaka mingi tu. so waweza pia nielekeza how to get into pm (natumia simu) With thanks.
Mshana hizo picha ulizoweka umesababisha nisisome ulichoandika
Muone