britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,165
- 47,867
Wewe na nguuruwe mna tofauti gani?100%
Kumbe ni code ,namimi nime reply kawaida tu , nilivyorudia nikagundua hata reply yangu nayo imekaa ki code tu🤣Huu Uzi bila kuwa na D2 huwezi kuelewa
Bahati mbaya sisi tuliosoma enzi za Mkoloni, tuliishia darasa la nne la zamani 🙌
Ni code hiyoKumbe ni code ,namimi nime reply kawaida tu , nilivyorudia nikagundua hata reply yangu nayo imekaa ki code tu🤣
Mkuu nadhani utakuwa umeshaagiza kilo moja hapo ya wikendi hahaa.Naunga mkono hoja ,nguruwe ni msafi ila akikutana na mtu mchafu ndio anafurahia zaidi ya kufugwa na mtu msafi.