Nguo zinaficha mengi

wanawake or mwanamke?
 
Huwa sina huo mda. Asubuhi nikiwa naelekea job nikiwa nimetoka nje ya nyumba najichek kwenye dirisha la aluminium kama nywele zipo fresh then hapo ndo imetoka hiyo.
 
wengine miili ikiwa haijastiriwa utadhani kichuguu.
 
kujiangalia ni muhimu..hasa nyie wanaume.Unaweza.kuvaa.pens kumbe miguu kama mikono utachekeshaaa..teh teh kila siku nkiyoka bafun ni lazima.nsimame mbele ya.kioo nijifutefute na kujipakapaka mafuta na kujichungulia alaa..

umepata wapi jeuri hiyo ya kumkosoa kiumbe ambaye hujamuumba?
jaribu kukosoa kiumbe au kitu ulichokiumba.,
 

hahahahaaaaa
 
thinking of my body parts is also the part of growing...

kama nyani anajiangalia na kujitoa chawa kwenye zivu, itakuwa kosa kwa bin'adam?

Sasa tumefikia kuwaona wanyama ni role models?

Who is supposed to be the better creation.

Mungu alipokuwa anamkabudhi Adam ulimwengu alimuambiaje?
 
Early Monday morning tunajiangalia tukiwa uchi kwenye kioo.

Halafu tukifika kazini tunasingizia foleni.

Watanzania tubadilikeni!!

Amepata muda huo kwa kuwa leo ni siku ya kumuenzi Hayati Karume...KARUME DAY
 
hahahaaa,, this dude is crazy..ila kweli ni vizuri ukajiangalia how u look fully naked. Kuna siku nilimskia Oprah alikuwa na mjadala wa faida za kutembea ndani ya nyumba yako fully naked, kama una watoto unawaambia waende beach au wakatembelee jamaa
 

hah hah haaa! thanks God u made my day mshana!
 

khaaaa!! kumbeee!!!...
 

Haaa haaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…