Nguo za Uturuki vs China

singojr

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
5,308
6,884
Miaka ya karibuni pamekuwa na ununuzi mkubwa wa nguo za dukani kuliko za mtumba.
Hii ni baada ya China kuteka soko la nguo Africa na kutengeneza nguo mpya za bei chee.
Kama kawaida wazee wa mserereko wakahamia huko kwa kasi suruali kadeti 17000, gauni kali 15000 tshirt 10000 watu wakafurahia maisha. Ghafla ikaanza kuingia mizigo ya ajabu. Nguo ukifua inachanika, ukikamua inapauka, ukipiga pasi inaungua. Nadhani ni katika kutafuta faida kubwa wafanyabiashara waliingiza mizigo duni sana.
Baada ya watu kushtuka na soko la "michina" kudoda naona sasa hivi biashara imehamia kwenye nguo za uturuki.
Ki ukweli hawa wana material nzuri rangi nzuri na nguo standard sana. Wana aina tofauti tofauti kiasi kwamba ni ngumu kukuta watu wamevaa "saresare maua".
Swali, Je wahuni wakumaximize profit wanaweza kuhamia huku na kuwashauri waturuki watutengenezee famba kama za wachina?
Soko la nguo za uturuki likihujumiwa kuna chimbo gani lingine lenye nguo kali kwa bei ya mtanzania?
 
Chimbo la Thailand vipi?
 
Naona Turkey hana cheap labour hata akishuka vp hatuwezi kupata kadeti ya 7000
 
Back
Top Bottom