Nguo za ndani zinapaswa kufuliwa baada ya kuvaliwa mara ngapi?

Kwa mwanaume anayejitambua na anayetambua kuwa usafi ni sehemu ya afya ya mwili wake.....

Boxer au nguo ya ndani inatakiwa kufuliwa baada ya kuvuliwa....na uvaaji wake usizidi siku moja.....

Pia unatakiwa uwe na nyingi zaidi ili uwe huru katika kuvaa.....

Sio kama wale vijana wanavaa mpaka inasimama dede....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…