Nguo za mitumba

Nguo za mitumba

Moghe

Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
61
Reaction score
23
Ninaomba kujua sehem au mtu anaefungua na kuuza nguo za mitumba kwa bei rahis hapa Dsm.
 
Ninaomba kujua sehem au mtu anaefungua na kuuza nguo za mitumba kwa bei rahis hapa Dsm.

Mimi ninauzo kama unataka za kwenda kuuza ninazo sket na blauz skinjeans, shat za like, ukihitaji Nipigie 0652651853
 
Unaitaji kwa bei gani? Mimi nafunguaga magauni Na nina mzigo umebaki kidogo kama unaitaji tiwasiliane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom