dist111 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 3,912 Reaction score 3,462 May 27, 2013 #61 Wengine tunavaaga bukta tu. hizo kitu tushasahau....
S SURUMA JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,892 Reaction score 1,068 May 27, 2013 #62 TheDealer said: huu sasa ni uchochezi![/QUOTE] Hakika ni UCHOCHEZI wa KIFAMILIA na INTELIJENSIA itatakiwa kufuatilia chanzo cha uchochozi huu!! Ukizingatia katika familia nyingine uchochezi huu utavuruga ratiba ya nani avae KIGUO CHA NDANI hiki siku ya leo!!!! Click to expand...
TheDealer said: huu sasa ni uchochezi![/QUOTE] Hakika ni UCHOCHEZI wa KIFAMILIA na INTELIJENSIA itatakiwa kufuatilia chanzo cha uchochozi huu!! Ukizingatia katika familia nyingine uchochezi huu utavuruga ratiba ya nani avae KIGUO CHA NDANI hiki siku ya leo!!!! Click to expand...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,357 Reaction score 108,493 May 27, 2013 #63 Kongosho said: Sketi alovaa anainyanyua yote kufuni top half of the body hadi kichwa na kuacha macho tu, kalio nje, anaifanya kama mtandio dizaini Click to expand... Mmmh! ningekua mwalimu huko mbona kazi yangu ingekuwa kufukuza wanafunzi tu!!
Kongosho said: Sketi alovaa anainyanyua yote kufuni top half of the body hadi kichwa na kuacha macho tu, kalio nje, anaifanya kama mtandio dizaini Click to expand... Mmmh! ningekua mwalimu huko mbona kazi yangu ingekuwa kufukuza wanafunzi tu!!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 May 27, 2013 #64 Ha ha ha ha, sasa unafukuza hata kama hawana kosa? watu8 said: Mmmh! ningekua mwalimu huko mbona kazi yangu ingekuwa kufukuza wanafunzi tu!! Click to expand...
Ha ha ha ha, sasa unafukuza hata kama hawana kosa? watu8 said: Mmmh! ningekua mwalimu huko mbona kazi yangu ingekuwa kufukuza wanafunzi tu!! Click to expand...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,357 Reaction score 108,493 May 27, 2013 #65 Kongosho said: Ha ha ha ha, sasa unafukuza hata kama hawana kosa? Click to expand... Hewalaaa nadhani umenielewa...halafu ningekuwa nawafukuza kuelekea mashambani tu kama Jogoo na Mtetee
Kongosho said: Ha ha ha ha, sasa unafukuza hata kama hawana kosa? Click to expand... Hewalaaa nadhani umenielewa...halafu ningekuwa nawafukuza kuelekea mashambani tu kama Jogoo na Mtetee