Ngoswe

Namuona Mitomingi kasima kwa mbaali...
Hivi mke wake alikua akiitwa nani vile,,,?
 
Jamani watu mnakumbukumbu hadi raha... Nimeipenda Hiyo!!
 
yule tarishi Onyango ndio aliharibu kila kitu alipokwenda kuchota umbea nyumbani kwa ngoswe. maana mama Tonge na Mazoea palikuwa haposhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…