ngo's website bure!

komredi ngosha

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
382
Reaction score
71
wanajamvi,

natafuta ngo ambayo inahitaji website niweze kuitengenezea for free. kama kuna mtu anaijua ani pm
 
Nchi hii itajengwa na wazalendo kama wewe, unless kama kuna kitu unachokihitaji behind it
 
For free kweli? Na kwa nini iwe NGO isiwe wafanyabiashara wadogowadogo wanaotaka kukitangaza? Haya sibishani na wewe lakni naona kama kuna kitu kimejificha nyuma yake
 
Mwanzo itakuwa free then huko mbele baada ya wenye NGO kuvutiwa nayo ataanza kulamba asali pale atakapowashawishi wampunguzie fungu ili aifanyie maboresho hiyo website.
 
Mwanzo itakuwa free then huko mbele baada ya wenye NGO kuvutiwa nayo ataanza kulamba asali pale atakapowashawishi wampunguzie fungu ili aifanyie maboresho hiyo website.

nnavojua hosting/domain/maintanance na vitu vingi vya website vinalipiwa interms ya mwaka so huwez jua labda ana lake mbele
 
nnavojua hosting/domain/maintanance na vitu vingi vya website vinalipiwa interms ya mwaka so huwez jua labda ana lake mbele

Kasema kutengeza, developing + design. Probably anahitaji experience na ajitangaze jina which is a good idea. Acheni kumdiscourage mwenzenu.
 
Reactions: hbi
Dah, inawezekana umeletwa na Mungu,ngoja narudi!
 
Anachosema ni kweli lazma uwape demo ukionekana unaweza watakufikiria achen majungu bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…