Ngono za kuchepuka ni gharama

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,471
Reaction score
17,977
Gharama za uendeshaji za tendo la ngono zipo juu. Kama utaamua kufanya ngono mara moja kila wiki kwa mwezi ni tsh 200000/= hii ni karibu nusu ya mshahara wa mwalimu. Ukimchukua demu, wewe na yeye mkanywa bia 3 @ mmoja ni tsh 15000. Chumba gest ya kawaida 15000/=vyakula 15000/= game ikiisha unamlinda 20000/=(kiwango cha mahouse girl) hapa ni budget ya kiwango cha chini.

Jumla kuu hapo juu 65000/= kwa week! Ukifanya hivyo mara 4 kwa mwezi, unaingia gharama ya shilingi elfu mia mbili na sitini. Yaani unatumia elfu elfu mia mbili na sitini. Hii kwa mwaka ni sawa na tsh 3120000/=! Ooh my God! Kumbe kupata raha duniani ni gharama namna hii.?
Hapo sijaweka gharama ndogo ndogo kama condom, vocha, usafiri nk.

Mimi ngono basi.
 
Acha zinaa, vuta jiko mazee au nunua doll its cheap
 
Sasa usipotumia hivyo utapigia mabao wap?
 
Mh. Kuanzia leo mchepuko basi narud kwa wife loo m3 kwa mwaka?
 

MKUU USIOGOPE m3 TU KWA MWAKA KITU GANI? WATU WANAHONGA RAV4 wanawajengea michepuko nyummba za 50m na bado wapo kwenye gemu.Mtoto wa kiume ukitaka starehe lazima narudia tena lazima ukomae vinginevyo utashikishwa ukuta! mimi simo.
 

kwani gari yako haina tinted??? weka tinted itakusaidia kupunguza gharama za guest house.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…