Hemed Maronda
Senior Member
- Oct 27, 2010
- 138
- 44
Ila Mkuu Platozoom hatukatai basi watengewe eneo maalum kama kwenye Madanguro na si kugeuza Nyumba za kulala Wageni kuwa Madanguro? Hivi Halmashauri ya Manispaa ya Temeke inafahamu kuwa inaibiwa? Maana hao watu wa short time wahaandikishwi kwenye Rejesta ya Wageni ambayo inatumika kukokotoa Kodi wanazotakiwa kulipa wamiliki wa Guest House kwa Halmashauri husika.Ngono ni starehe isiyobagua kwa maskini na tajiri..............So sad lakini ndiyo hivyo tena
Ila Mkuu Platozoom hatukatai basi watengewe eneo maalum kama kwenye Madanguro na si kugeuza Nyumba za kulala Wageni kuwa Madanguro? Hivi Halmashauri ya Manispaa ya Temeke inafahamu kuwa inaibiwa? Maana hao watu wa short time wahaandikishwi kwenye Rejesta ya Wageni ambayo inatumika kukokotoa Kodi wanazotakiwa kulipa wamiliki wa Guest House kwa Halmashauri husika.
Mkuu hapana Guest House ambayo nimeshawahi kulala pale inaitwa Minazi na niliwahi lipia Chumba Tshs 20,000/= ila siku ambayo nilipata chumba mapema haikuwa siku ya Wikiendi nimeona mabadiriko siku ya leo baada ya kuambiwa leo biashara kubwa ni Short Time ambayo ndiyo inayowalipa sana!gest ya elfu tano??
Anyway, pole.
Mkuu umenena sawa! Maana haki za watu zinapotea bure bila sababu kwa tamaaya Watu wachache wanaopenda kujinufaisha binafsi kwa kubadiri matumizi sahihi ya Guest House wakati wahusika wapo wanaosimamia sheria za nyumba za wageniPole mkubwa.
Wlichotakiwa kufanya ni kujenga sehemu kubwa kiasi kwamba wanaotaka kujinafasi kwa muda mfupi waweze na wanaotaka kulala waweze.
Kumkatalia mtu chumba kwa sababu anataka kulala na hali chumba kipo ni kuvunja mwiko wa biashara, kabla hata ya kuingia kwenye sheria huko.
Hivi ingekuwaje kama makondakta wa mabasi wangekuwa wanatuuliza mlangoni "wewe unakwenda wapi?" Ukimwambia unaenda Karioakoo anakupiga chini, anapakia wa kushukia njiani tu. Tungeelewana hapo?
Mamlaka husika inabidi zimulike hili. Watu wenye kazi zao wapelekwe wamevaa kiraia, waombe chumba, wakataliwe kwa majibu hayo ya kihuni, hapo hapo mtu anakamatwa na Guest House inapigwa bonge la faini. Wakifanya hivi mara nne tano watu wote wataogopa kuleta upuuzi huu.
Mfanyabiashara hakatai biashara yake. Labda hajajipanga vizuri huyo.
Dar inaongoza Mkuu maana hata foleni za ARV'S Dar ni tishio pia!"ngono yazidi kutawala dar." ni dar tu peke yake?
Kwanini umefikiria ngono tu? Wengine labda huwa wanaenda kufanya mazungumzo tu na kutoka.