LooNawashauri vijana wenzangu msifanye sana mapenzi kabla ya kuoa. Ukishaoa ukatulia hamu ya zile show za kibabe za kukomoa, za kuonja kila demu mkali hazipo tena.
Ukiangalia uume utauonea huruma umekaa kiuzuni, ulitumika sana, unapiga viwili hamu hakuna.
Nadhani wanaume waliojitunza ujana wao wakiingia kwenye ndoa wanakuwa na hamu sana ya kusex kila mara kuliko wale wanaume waliokuwa malaya uume una expire [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume aliekamilika mwanandoa anaweza kufanya mapenzi mara ngapi kwa siku/wiki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia sijaoa..let's compliment each other[emoji847]Sijaolewa Darmian
Wewe je!?
Minimum 14 times.. Daily mara mbili... Cha usiku na cha alfajiri.... Morning glory
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ulisema kufanya ni mara hata 10 au ushasahu kuna wale wanaorudigi mchana ki1 fasta anatudi kaziniTendo la ndoa lifanywe kila siku.
Usiku x2 asubuhi x1
[emoji124][emoji124]
Mkuu katika pitapita yako ya Elimu hukuwahi kusoma theory moja inaitwa use and dis use Theory? Kama hukuwahi pita kaipitie hata Google then ndo utaelewa Ni yupi Kati ya Yao hao wawili Ina expiree.Nawashauri vijana wenzangu msifanye sana mapenzi kabla ya kuoa. Ukishaoa ukatulia hamu ya zile show za kibabe za kukomoa, za kuonja kila demu mkali hazipo tena.
Ukiangalia uume utauonea huruma umekaa kiuzuni, ulitumika sana, unapiga viwili hamu hakuna.
Nadhani wanaume waliojitunza ujana wao wakiingia kwenye ndoa wanakuwa na hamu sana ya kusex kila mara kuliko wale wanaume waliokuwa malaya uume una expire [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀Si ulisema kufanya ni mara hata 10 au ushasahu kuna wale wanaorudigi mchana ki1 fasta anatudi kazini