Prison officer should provide condoms for the inmates
Prison officer should provide condoms for the inmates
Prison officer should provide condoms for the inmates
Kuwapa condom haitasaidia, maana kuna siku watasahau kuwapa au kwa makusudi,
Kinachotakiwa wapate elimu juu ya ukimwi na wafundishwa madhara ya ushoga na usagaji, na ziwepo sheria za kuzuia vitendo hivyo gerezani.
Na mwisho hao ni binadamu kama wengine na hilo ni hitaji lao wapewe uhuru wa kufanya wanapijisikia au wapangiwe muda wawekwe free kwa muda wahcnganyikane.
Hawapewi muda ndo maana wakiupata wanautumia vizuri na condom wanasahau, ukimwi huko kupungua ni ndoto.
You are right just giving the condoms without education and awareness campaigns is not the answer.
Change! change! change!! what we need is change.
Change in our attitudes
Change in the prison systems...i would like to see this in this lifetime
Decongesting the jail systems
Governments should take the AIDS/HIV campaigns to the very places that they are rampant, in this case Prisons
NATOA Ombi KWA WALE WENYE MAGAZETI WACHAPISHE ARTICLE HII NA PIA VYOMBO HUSIKA VIPELEKEWE NA KUFANYIWA KAZI...!The cause is not congestion but rather overcongestion, as can be seen by the statistics the prisons hold more remandees and prisoners as contempleted. We should ask ourselves why is it so, the reason is so simple lack of reasoning and foresight.
During the colonial period wazungu walihakikisha kuwa watu wanaokaa gerezani ni wale tu ambao ni tishio kwa jamii, hivyo basi dhamana haikuwa kitu kikubwa sana ni makosa machache yaliyokuwa hayadhaminiki kwa mfano mauaji na uhaini. vifungo vya wakati huo vilikuwa linient sana.
Adhabu ya miaka mitano wakati huo ilionekana kubwa sana, adhabu zilikuwa mwaka mmoja au miaka miwili, hivyo basi pamoja na remisssion mfungwa alijikuta anatuminkia muda mchache namuda unaobaki baada ya remission anakuwa mfungwa wa nje na kufanya kazi za kijamii, kazi hizo ndizo zilileteleza ujenzi wa barabara, reli, mashule ofisi za serikali nakadhalika.
Hivi sasa makosa yasiyo na dhamana yameonzeke kamasharti ya dhamana ni magumu na mtu akipatikana na hatia adhabu ni kubwa mno, miaka 15, 30, kifungo cha maisha. Mwisho wa siku ni walipa kodi ndo wanaobeba mzigo wa kuweka watu mahabusu na jela. Kazi za kijamii ( zamani wakiitwa wafungwa wa nje) hakuna kabisa.
Matokeo yake hakuna material gain ambayo serikali na au jamii inapata kwa kuwaweka watu gerezani zaidi ya kuambukizana magonjwa kama takwimu zinavyoonyesha.
Zaidi ya hapo hakuna indication yoyote kuwa crime rate inapungua kutokana na adhabu kuwa kali inabidi tuangalie upya penal system yetu.
My take,
Problems in prisons (HIV/AIDS) that are being discussed here to some extent have been caused by members of our society (You and me inclusive). Changing in attitudes, Magistrates for instance do not want to utilized non-custodial sanctions instead for them custodial sanctions are their priorities. This has led to what we're blaming here 'the overcrowding in prisons'. In JF we've lawyers, may be they can tell us why many magistrates hastate to impose sentences other than imprisonment. For sure I know, we have other alternatives to impriosnment. for example, there are Community service Act, 6/2002, Extra Mural Penal Employment, Parole Boards Act, 25/1994, Probation of Offenders Act, Cap. 247, Conditional discharge, Suspended sentences, warnings, fines etc etc. These Acts/penalties were created as an alternatives to imprisonment. Unfortunately people (Lawyers, Magistrates, Judges) whom we entrusted to implement it, for their own interests, do not want to use it.
Ordinary people or victms of crime are not ready to see people who offended them being placed in community based sanctions. their hearts felt relief if the offender sentenced to imprisonment regardles the type of offence committed. Therefore, if is to solve prisons' problems, the whole society should be educated to change their attitudes.
For the case of HIV/AIDS, Igree with those who proposed to introduce conjugal visit system, this, perhaps will minimized the HIV/AIDS spread among inmates. The use of condoms is another good alternatives,if it will accompanied with intensive education to inmates. ARVs too, should be made available for those inmates who have already contracted the disease. The use of ARVs should go together with the improvement of diet for inmates in order to prevent side effects that might be brought by lack of diet.
...kufanya kazi za kijamii, kazi hizo ndizo zilileteleza ujenzi wa barabara, reli, mashule ofisi za serikali nakadhalika...
Kuna haja ya kurudisha utaratibu huu kwani baadhi ya wafungwa wana ujuzi wa kutosha kuweza kuzalisha mali kwa magereza kujitoshelea. Si wamtumie Babu Sea kwenye kumbi za starehe aliingizie jeshi la magereza kipato!!!
Hatupendi kujiofunza kutoka kwa wachina, kuna taarifa kuwa siri ya makumpuni mengi ya Kichina kushinda tenda kwa bei za chini ni kutokana na kuwatumia wafungwa wenye utaalamu toka katika magereza ya kwao kutekeleza miradi hiyo kwa gharama nafuu. Huo ni mfano wa kuigwa hata kama taarifa hizo sio za kweli...
Kuna haja ya kurudisha utaratibu huu kwani baadhi ya wafungwa wana ujuzi wa kutosha kuweza kuzalisha mali kwa magereza kujitoshelea. Si wamtumie Babu Sea kwenye kumbi za starehe aliingizie jeshi la magereza kipato!!!
Hatupendi kujiofunza kutoka kwa wachina, kuna taarifa kuwa siri ya makumpuni mengi ya Kichina kushinda tenda kwa bei za chini ni kutokana na kuwatumia wafungwa wenye utaalamu toka katika magereza ya kwao kutekeleza miradi hiyo kwa gharama nafuu. Huo ni mfano wa kuigwa hata kama taarifa hizo sio za kweli...