ngono husababisha magonjwa ya zinaa 23. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ngono husababisha magonjwa ya zinaa 23.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by GIB, Mar 15, 2012.

 1. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wandugu je wajua ngono zembe inasababisha lundo lamagonjwa na Baadhi yake ni kama vile kisonono, kaswende na Ukimwi. magonjwa hayo yanasababishwa na mtindo wa maisha ambapo ngono imefanywa kama starehe na ni sawa na mtu anayekunywa pombe au kuvuta sigara.
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Yuko wapi Doctor Forum
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kwani ngono sio starehe??
   
 4. s

  sawabho JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Ina maana katika maisha yako ya miaka 40, leo ndio umegundua hilo? Mbona umechelewa sana!!
   
 5. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mchuma uoooooooooooo unapitaaaaaaaa.
   
Loading...