Ngome za CCM zimebaki wapi na ngapi?

....washalegea 25 oct wanakaa...
 
Hamna mwenye ngome mwaka huu. Hata kule Arusha tuliaminishwa mgombea fulani hatapata hata watu 20. Tulichokiona alipoenda ilikuwa total shock!
 
kwani ngome ni kujaza watu mikutanoni au idadi ya kura zitakazopatikana.
Kama ni idadi ya watu hakuna mshindi kama ni kura wakati ukwadia tutafahamu.
Wote tujiandae kisaikolojia kusiakia tusivyokubali na kuelewa tusioyajua.
 
chadema wamefilisika na kuweweseka! Mliingia Mkenge na kuwatosa wapiganaji na kuamua kuchukua Taasisi CHAKAVU inayoitwa LUWASA.... sasa mnatapika NYONGO..... huku Mwanza kama ilivyo TABORA na KIGOMA hata UDIWANI hamuabulii hata kiti KIMOJA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…