Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,958
Kwani unashangaa nini?kama akili yako iko sawasawa weka takwimu hapa za CCM na UKAWA nafasi walizopata nchi nzima ni kichekesho!
Mabadiliko ya matumbo yenu labda lakini sio ya kuingia Ikulu!
mara hii lazima watazisoma hizo namba zao ,maana hakuna anyewajali ccm zaid ya kuwapuuzia tu
Si ndio hapo hapo alipofanyia magufuli?? Tanga wameonyesha mahaba
Ukweli ni kua Morogoro hasa Kilosa,Vijijini na Morogoro mjini bado Ccm wana nguvu sana,ila kwa Kilombero na Mahenge kule Ccm ni kama imefutika,nadhani kwa majimbo hayo hata watu wake walibahatika kuelimika mapema sana ku compare na majimbo mengine ya Morogoro huu ni ukweli ulio wazi
Mwaka huu ccm wanachomwa mishale ya mabadiliko kila kona
Mkuu watu wa Tanga hawa mpendi Magufuli kabisa. Baada ya kutoka kwenye ule mkutano wake wa kampeni watu wa Tanga walisema huyu bwana hatatufaa kwa lolote. Yaani hilo sio jambo la kuuliza. Wanasema ni Bora hata CCM wange mchagua Mizengo Pinda kuliko huyo jamaa mwenye uso wa Mbwa. Nuksi tu.
Kama ni sera akina Dimond wa nini???!,
mungu atupe uzima tuwaondoshe viumbe hawa kwenye ramani ya siasa baada ya miaka yao 54 kuisha 25 Oct,
Ambapo kuanzia hapo wataanza kuwa wapinzani kabla ya kuwaelekeza kibla na hatimaye hapo 2020 na kuwafuta
katika ramani za siasa duniani,ibaki historia kwa watoto wetu kwamba kulikuwa na chama kinaitwa fiCCM
Mna kibarua kikubwa sana mwaka huu. CCM mbele kwa mbele