NG'OMBE WAGEUKA MAMA ZA WATOTO WETU

Enzymes

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
4,332
3,008
Habar wadau,

Navyo tizama muda si mrefu sana watoto wetu, mama zao watageuka kuwa Ng'ombe.

Hivi karibuni kumekuwa na kitabia cha wadada wa mjini kupenda kumtain shape kwa kuogopa kuzeeka hivyo kuwalisha watoto wetu Maziwa ya NG'OMBE. Wengine huenda mbali zaidi na kuwapa Maziwa ya NIDO / AZAM ambayo hukaa muda mrefu sn ndani ya makopo/pakiti na huwa yana CHEMICALS za kutosha!!

Utakuta mkoba umejaa soseji, pemba, ubuyu, na chips; kwa mlo huu maziwa yatoke wapi! Au huwa wanaogopa kwenda choo mara 2 au 3 kwa siku?

Ukweli ni kuwa MTANZANIA ni mtu mwenye IQ kubwa sn, anajifunza ktka Mazingira magumu. No Practical, wala Computer, CPU anaisikia tu, lakini amekuwa na uwezo mkubwa wa kushindana na Mzungu ambae ana favourable Environment ya kila kitu.

Kwa sasa nashuhudia watoto ambao Miandiko yao ni mibaya, kusoma na kuandika ni issue mfano mzuri ni Madiwani wa CCM Geita wakati wa kuapishwa!! Tena hii BIG RESULTS NOW (BRN) ndio janga.

Muda si mrefu tutakuza mazezeta. Brain zero, Great Thinkers wa JF watakuwa hawapatikani tena, hata kutembea mtoto hawezi!! Overweight
 
Mkuu nimesema muda si mrefu make naona mwelekeo si mzr, na vijana wengi kwa sasa wako town.
 
Una uhakika hawa madiwani hawakunyonya?
Na wasiwasi mkuu!! Hivi inawezekana kweli unyonye vzr afu ushindwe tu kusoma na kuviunganisha viherufi vitu vidogo vidogo visivyo na damu wala macho au miguu?
 
Back
Top Bottom