Ng'ombe wa Nyama

Ng'ombe wa Nyama

Chamaroa

Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
17
Reaction score
20
Nina mpango wa kuanza kufaulisha Ng'ombe Hadi Kenya, nimepata soko lakini naomba kujua bei ya Ng'ombe mwenye uzani hai wa kill >ya 400 ni shilingi ngapi na ninaweza kuwapata wapi.

Nitashukuru wadau
 
Back
Top Bottom