Realboynicky
Senior Member
- Mar 31, 2023
- 166
- 311
Am single tii am single again
[emoji23]Unaijua single again wewe?
Huu nao ulitakiwa uwe kwenye list, umetembea sana naoHaujui...
Ni Simba la Masimba Dangote.
We kijusiiiiMziki wa Bongo ulishanitupa mkono kitambo sana yaan
Champi9n unapiga night club!!?Kontawa? Champion.
Naona upo kuyarudi beshteHaujui...
Ni Simba la Masimba Dangote.
Ni balaa Beshte yangu....Naona upo kuyarudi beshte
Ukipata kitu kinachokufurahisha iwe wimbo,au chakula au kinywaji shikilia hapo hapo beshteNi balaa Beshte yangu....
Chibu ananifurahishaga sana anavyotamka hiyo kitu...
Akuna kitu apooAm single tii am single again
[emoji23]Unaijua single again wewe?