Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,708 Reaction score 1,733 May 19, 2016 #1 Wakuu, kama mnavoona siku hizi hakuna matamasha yanayoshirikisha vikundi vya ngoma za asili kama zamani hivo kuhatarisha utamaduni wetu. Mie ni mpenzi wa ngoma za Kiswezi lakini sizioni zikipigwa mkoani Tabora, hivi wapo kweli?
Wakuu, kama mnavoona siku hizi hakuna matamasha yanayoshirikisha vikundi vya ngoma za asili kama zamani hivo kuhatarisha utamaduni wetu. Mie ni mpenzi wa ngoma za Kiswezi lakini sizioni zikipigwa mkoani Tabora, hivi wapo kweli?
Elijah O JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 1,127 Reaction score 930 May 20, 2016 #2 Kizazi kimepotea wamebakia wachache sana pande za ussoke
Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,708 Reaction score 1,733 May 21, 2016 Thread starter #3 mederii said: Kizazi kimepotea wamebakia wachache sana pande za ussoke Click to expand... Sasa mkuu tufanyeje? Maana hizo ngoma ni zaidi ya zile za akina Dovido.
mederii said: Kizazi kimepotea wamebakia wachache sana pande za ussoke Click to expand... Sasa mkuu tufanyeje? Maana hizo ngoma ni zaidi ya zile za akina Dovido.