kumbe ndani jm kuna kundi kubwa la majuha watu wasiokubali ukweli sasa naelewa tz tunachezewa kwa sababu ni wazembe wa kufukiri
haa haaa haa jf bhana!Wewe unajua kabisa watanzania asilia kubwa hawana akili nyingi halafu unawaletea artcle nzima wakati wao wamezoea kusoma vitendawili na methali
haaa haa mbavu zangu mie!Watoto wa nani?,yani uzae wewe watoto akutunzie jk?,kwani wakati unamkatikia my wife wako alikuwepo?
we jamaa umenikera ungekuwa karibu ningekuchapa makofi!ndyo nini Ku quote thread nzima unatukera tunaotumia cm
Faiza you are better than this......ni vipi kama ukinyamaza kutojibu issues kama hizi
Ni za escrow mkuu...mbona unaturudisha nyumaSo zile hela alizokiri kupokea yule mama tibaijuka ni za nani
Umeeleweka but FISAD's BRING BACK OUR MONEY!!!!!!!!!
Hata mkuu wa nchi kwenda USA na msafara wa wanafamilia/wapambe lukuki kwa ajili ya kutumbua busha nayo sawa tu ilhal watoto hawana madarasa/madawati na akina mama wanajifungulia njiani ama maeneo ya wazi bila kupata huduma za msingi
Aache kukoseshwa raha na sakata la escrow aje akoseshwe raha na majibu taka...acha hizoHilo jibu limekukosesha raha.
Pendekezo la kununu mitambo Mipya ya Mafuta lilikuwepo na lilipelekwa wizarani kwa Waziri wa NISHATI NA MADINI wa wakati huo, Ndugu JAKaYA MRiSHO KiKWETE, Akalikataa hilo pendekezo kwa maelezo kwamba Raisi ALHjI ALLy HaSSAN MwINYI amepata mwekezaji IPTL
Kwani huwa unajisikiaje ukiambiwa ukweli we niambie tu usiogope.
Aache kukoseshwa raha na sakata la escrow aje akoseshwe raha na majibu taka...acha hizo
Nadhani stanchart walijichanganya toka mwanzo...wao walinunua mkopo ambao ulikua ha u perform kutoka malaysian Bank....kipindi hicho Mechmar ina struggle na kukaribia kufa...But stanchart wakaamua kuubeba mkopo vile vile ulivyo....
Sababu ya kuubebe ni kuwa waliona capacity charges zilivyokuwa inflated wakawa wanategemea wataivuna pesa iliyoko kwenye escrow Account.
Kimsingi hii vita ni ya Serikali ya Uingereza ambaye anapigania maslahi ya Benki yao Stanchart na Nimrod Mkono anayelipiza kisasi kwa kunyimwa mkataba wa uanasheria wa TANESCO.....UK na Nimrodi Mkono ndio the real men behind.....hawa kina kafulila ni waqnaotumwa kuongea tu....
But Zitto ni mtu wa system na ana kazi maalum pale
Hilo jibu limekukosesha raha.
Porojo hizo. Onesha ushahidi wa hilo pendekezo.