Ngoma ngomani

d tarimo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
919
Reaction score
517
Nyumba ya pili hawalali ya tatu ACT hawatamani kuwona usiku
 

Attachments

  • 1438083279529.jpg
    26.6 KB · Views: 1,156
Na yuda kashachukuwa kamba tayari kwa kujinyonga.
 
sipati picha lowasa akivaa shati la chadema!
 
Lowasa si alisema atafia ccm jamani...
 



Nape, kama ccm ilikuwa imejiridhisha kwamba Lowasa alitoa rushwa, jambo ambalo halina ubishi, kwa nini hamkumchukulia hatua za kisheria kama chama au kama serikali ambayo ninyi ndio mlikuwa mkiiongoza?


Mlijua anatuhuma za jinai, mauaji ya watu, kwa nini hamtamfikisha mahakamani?

Kwa nini mlimpa fomu ya kugombea uraisi wakati mnajua hana sifa?

Wizi wa Richmond ni wa miaka mingi, unasemaje raisi kikwete alipokwenda kuwahadaa wana Monduli kwenye kampeni kwamba Lowasa ni mtu safi?? Kama mlijua ni fisadi, kwa nini mlikwakataza takukkuru wasimpeleke mahakamani?

Unasemaje juu ya maazimio ya bunge katika masuala mbali mbali lilkiwemo la Richmond, epa, dowans, escrow, n.k ambayo serikali ya ccm imekuwa ikigoma kuyafanyia kazi na kusimama kibabe upande wa watuhumiwa?

TUNAOMBA MAJIBU NAPE. NOW IS TIME WALA MSILETE MASIHARA. TUMEPOTEZA NDUGU ZETU UJUE.
 
TUNAOMBA MAJIBU NAPE. NOW IS TIME WALA MSILETE MASIHARA. TUMEPOTEZA NDUGU ZETU UJUE.
maswali mazuri sana...lakini hawataweza kukujibu maana wanaongozwa na hisia na sio akili..alafu kila mmoja wapo ni mchumia tumbo..subiri waone moto ukiwaunguza maana wameyataka wenyeweee!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…