Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
DOGO: Mama Jana Baba Alikuja Na Mwanamke Na Akaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita Beib...
BABA: Kwa Hasira Ebu Wacha Kuongea Na Chakula Mdomoni Wewe Mpumbavu Sana Khaa!!!
MAMA: Eti Nini Hebu Endelea Mwanangu Alafu Wakafanya Nini Hawa Nguruwe...
DOGO: Wakanza Kufanya Kama Vile Mlifanya Na Anko nassoro Wakati Baba Alikua Safari Za kikazi...
MAMA: Babako Amesema Uwache Kuongea Na Chakula Mdomoni We Kweli Mpumbavu sana...
😂😂😂😂😂