Jibaba fulani lilikuwa na tabia ya kuzima taa wakati anapoingia kwenye tendo la ndoa. Hali hii iliendelea muda mrefu kama miaka 15 hivi. Siku isiyo na jina mkewe akachachamaa na kutaka taa isizimwe. Hapo ndipo siri ya mzee ikafahamika kuwa alikuwa akitumia vibrator kwani alikuwa jogoo wake alikuwa hawiki. Mama kuona vile akang'aka na kusema kelele zote hizi nilizopiga kumbe ni hicho kidubwana chako!! Mzee naye akajibu mapigo akaja juu na kusema itabidi unieleze kuwa hawa watoto watatu uliozaa hiki kidubwana ndicho kilichokubebesha mimba?