Ngolo Kante afunga ndoa huko Bamako, Mali

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
672
Reaction score
2,283
Mchezaji asiyechukiwa, aliyepita vilabu kama Leicester City, Chelsea, na sasa anakipiga uarabuni Ngolo Kante amefunga ndoa baada ya kuachana na mwanamke wake wa awali.

Ndoa ya Ngolo Kante ni ndoa simpo sana ambayo haikuwa na makuu.

Kwa msiofahamu, Ngolo Kante analipwa Dola za Marekani 520,000/= kwa wiki ambazo ni sawa na Bilioni Moja, Milioni Mia tatu na Laki Tisa na ushee.

Una lipi na kujifunza?
 
DM box to box๐Ÿ”ฅ
 
Kama Ngolo kaachana na mwanamke,basi huyo mwanamke alikuwa hafai kabisa

Huyu jamaa ana dunia ya peke yake yaan

Kuna kituko kwamba kuna restraunt ya wachezaj wa chelsea walianzisha jamaa kwa vile ni jamaa zake alikuwa halipi
Kuna makala nilisoma inasema jamaa alikuwa anaishi vizuri na wale watoto wa mkewe ,wako kama watatu hivi kama sijkosea ,anaishi nao kwa upendo sana na wanamuonesha upendo kama baba yao.
 
Huyu katafutiwa na Wazazi wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ