Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,304
- 49,333
Katoto tunakaita jf junior😀😀We like wote tu
Kwan sh ngapii
Ntafurahi siku mnaleta mrejesho hapa kwamba kuna ndoa zilifungwa....kuna katoto kalizaliwa na kuna watu mlikulana
Katoto tunakaita jf junior😀😀We like wote tu
Kwan sh ngapii
Ntafurahi siku mnaleta mrejesho hapa kwamba kuna ndoa zilifungwa....kuna katoto kalizaliwa na kuna watu mlikulana
Nawe! rupia haiwezi ingia bank wakati Teller amefunga DirishaPenye uzia penyeza rupia
Muhimu tunakata mrejesho😂😂😂Dunia imeharibika unaweza kushangaa ka like mwanaume mwenzako
Nakuja hivyohivyo hata kama hujalikeTulia wewee
Poa Bora sikuwahi kushiriki kampeni ya kukataa ndoa nilijua tu nikishiriki iko siku naweza kukosa fursa Kama hiziUnamchuja unatupa kuleeee
Alafu ramadhani Iko njiani tukapikiane uji wa pilipili manga😂😂😂😂😂😂😂😂
Nitashiriki kukapelekea diaper kabisaaa