Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Upo sahihi aiseeHaiwezi kurudi tena ile ladha ya enzi hizo, watangazaji wa siku hizi kuwasikiliza inahitaji moyo mmmno...
Ukisikiliza sasa hivi unaenjoy usikilizaji?Kuna mtangazaji mwingine aliitwa Iddi Rashidi Mchata! Kipindi hicho unatangaziwa mpira kama unauona 'live' TBC ilisheheni watangazaji wa ukweli!
Tumewahi kuingia fainali kombe la Africa na NigeriaTanzania wachezaji A.K.A kibao lakini Tangu kuumbwa kwa dunia hatujawahi kushika hata namba 3 ya kombe la afrika wala kupata nafasi ya kucheza kombe ladunia lakini utawasikia hao ma A.K.A wenyewe sasa mara enzi zetu soka lilikuwa juu sasa limeporomoka. Hakuna kitu cha namna hiyo kitu ambacho kimewahi angalau kututambulisha kama taifa katika ulimwengu wa michezo ni riadha....tukomae na hilo litatusaidia
Hakuna mvuto kabisa!Ukisikiliza sasa hivi unaenjoy usikilizaji?
Upo sahihi aisee, sasa hivi ma sport lady bado sanaUmenikumbusha Sports Lady Halima Mchuka (RIP) nilikuwa namuelewa sana...mpaka leo sijaona mtangazaji wa mpira wa redioni wa kike wa kumfikia
haswaaaUpo sahihi aisee, sasa hivi ma sport lady bado sana
Kweli bora wakati wa mkoloni make hakukuwepo watu wasiojulikanaIdd Selemani "Nyigu",
Godwin Aswile "Scania",
Madaraka Selemani "Mzee wa kiminyio "",
Salum Kabunda "Ninja",
Zamoyoni Mogella "Golden Boy",
Malota Soma "Ball Juggle ",
Said Mwamba "Kizota ",
Abdul Ramadhani "Mashine ",
Idd Moshi "Mnyamwezi ",
Twaha Hamidu "Noriega "
Method Mogella "Fundi ",
Itutu Kigi "Road master ",
Sanifu Lazaro "Tingisha ",
Mohamed Hussein "Mmachinga",
Mohamed Mwameja " Tanzania one"
Ali Yusuph "Tigana"
Anuari Awadhi "Bafaraa"
Bakari Malima "Jembe Ulaya"
Jabir Mahadhi "Mandieta"
Ali Mayai "Tembele"
Emmanuel Gabriel "Bat Goal"
Jobe Ayoub "Kwasakwasa ",
Thomas Kipese "Uncle Thom ",
Athuman Juma Chama "Jogoo",
Juma Bakari "Kidishi ".....
Hawa enzi zao ulikuwa hukai mbali na redio yako, tena kutana na watangazaji kama
Omary Jongo,
Ahmed Jongo,
Swedi Mwinyi,
Dominic Chilambo,
Abdalah Majura,
Salim Mbonde,
Nadhiri Mayoka na baadae wakaja akina
Juma Nkamia,
Halima Mchuka.
Nimewakumbusha mbali sana wale wa kizazi hicho, yaani soka la redioni lilikuwa na mvuto enzi hizo.
Natamani zile zama zirudi tena.
Yanga hii hao kina Ngoma au Okwi wasingepata nambaView attachment 605207
Hiyo ni Yanga ya mwaka 1994.
Kutoka kushoto waliosimama ni salum kabunda ninja,costantine kimanda,steven casmiry nemes,Kenneth pius Mkapa na suleiman mkata Kutoka kushoto Waliochuchumaa ni nico bambaga,sekilojo Johnson chambua,edibily Jonas lunyamila,,james tungaraza bolizozo na said Nassor mwamba kizota