cds Senior Member Joined Oct 26, 2012 Posts 144 Reaction score 79 Sep 23, 2014 #1 Fact huo ndo ukweli Attachments 1411448480278.jpg 78 KB · Views: 239
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,048 Reaction score 77,405 Sep 23, 2014 #2 Haaa yaani Mwana siasa halafu mwaminifu, malaya halafu bikra kweli wamekutana wote wako vizuri kwa uongo. ~◇♧
Haaa yaani Mwana siasa halafu mwaminifu, malaya halafu bikra kweli wamekutana wote wako vizuri kwa uongo. ~◇♧
Mwandwanga JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,057 Reaction score 1,573 Sep 23, 2014 #3 Kennedy said: Haaa yaani Mwana siasa halafu mwaminifu, malaya halafu bikra kweli wamekutana wote wako vizuri kwa uongo. ~◇♧ Click to expand... Kahaba anaweza kuwa mkweli lakini sio Mwanasiasa. Inawezekana kweli ni bikra hasa kama wateja wake wanaruka UKUTA.
Kennedy said: Haaa yaani Mwana siasa halafu mwaminifu, malaya halafu bikra kweli wamekutana wote wako vizuri kwa uongo. ~◇♧ Click to expand... Kahaba anaweza kuwa mkweli lakini sio Mwanasiasa. Inawezekana kweli ni bikra hasa kama wateja wake wanaruka UKUTA.
cds Senior Member Joined Oct 26, 2012 Posts 144 Reaction score 79 Sep 23, 2014 Thread starter #4 Hapo kahaba kamjibu ipasavyo, maana wanasiasa wana maneno sana na huyo dada akaona isiye shida naye kamjibu kama yeye. Hapo ngoma droo
Hapo kahaba kamjibu ipasavyo, maana wanasiasa wana maneno sana na huyo dada akaona isiye shida naye kamjibu kama yeye. Hapo ngoma droo