Hodi

Karibu...Je umekuja na Suruali ya kitambaa,Shati la mikono mirefu..mkanda..viatu pair mbili..tai..nguo za ndani pair nne..mswaki..kikombe cha uji...sahani..bakur..trunker...Fagio...jembe...reki...na dawati la JF.??????
 
Asante. Nasikitika hamkunitumia join instruction...so vitu vingi sikuja navyo ila nguo hizi nilizovaa ambazo ndio za kuvalia ndani na nje (ninatoka nje, naingia ndani)...Nnataraji mtanipa nguo za (kuvalia) kama zipo maalumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom