Habarini waungwana natumai ni wazima kwa wale wagonjwa Mungu awape nguvu na afya nzuri mapema ili tuendelee kusongesha hili gurudumu la maisha, naomba niwe mmoja wa familia yenu wapendwa, kama mtafurahi mimi kuwa miongoni mwenu nitafurahi pia