silver25
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 743
- 44
Re: Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu ni tusi?
Ndugu zangu, nimechelwa sana kujibu tuhuma dhidi yangu kwani ni mimi Dickson Amos Ng'hily ndo nilituhumiwa kumtukana Rais Kikwete....Nway mengi yamesemwa..Ndugu zangu...ninachoseam ni kile kile nilichowaambia police....sikumtukana rais coz urais ni taasisi na kamwe siwezi kuitukana..ninaiheshimu sana...ila mimi nilimuongelea bwana mmoja anaitwa Kikwete....Na yale niliyosema siyo matusi...na ukweli sikusudii na sitarajii kuomba msamaha kwani ninaamini nilichokisema siyo tusi...Na ukweli sijutii nilichokisema na hata polisi niliwaeleza na ndio maana baada ya kuhojiwa kwa saa tano...waliniachia huru na kunipa onyo kuwa japo sio tusi ila wanaomba nisirudie kusema maneno kama hayo.....Wanaotaka maelezo zaid wanaweza kuwasiliana na mimi moja kwa moja kwa kutumia barua pepe yangu ya nghily@hotmail.com au dick333amos@yahoo.com au kwa simu ya kiganjani ya +255 71 553 9602, na +255 75 453 9602
Asanteni kwa michango yenu....
Kwa mtindo Huu Chadema basdo ipo kwenye mapambano,, na inaendelea kusaka Kura za 2015, uraisi na wabunge majimboni,, naomba tuiunge mkono kwanguvu ya watuuu
Peeeeoooopleeeee..........:israel:Asanteni kwa michango yenu....
Kwa mtindo Huu Chadema basdo ipo kwenye mapambano,, na inaendelea kusaka Kura za 2015, uraisi na wabunge majimboni,, naomba tuiunge mkono kwanguvu ya watuuu