Sengerema maji ni shiiida, nimemuona leo mida ya saa 18:30 kwenye gari lake, watu wa people's naona huku wamechachamaa wanalitaka jimbo kwa nguvu, katika maongezi nikasikia mpinzani wake wa people's power wanatoka kijiji/kata moja ni mfanyakazi huko Iringa. waiting to see.but Sengerema maji ni shida kuliko hata Singida.
Wananchi wa jimbo la Sengerema wamesusia mikutano ya mbunge wao kwa sababu zilizotajwa na watu wake wa karibu kuwa alikuwa harudi kuwaona hivyo ameona uchaguzi umekaribia ndio anarudi.
Wamemwambia amerudi kufanya nini, wamemwambia akaendelee na shughuli zake.
Naomba kuwasilisha.[/QUOTE
Kwa akili za watu wapotoshaji kama zako nina wasi wasi kama tutamaliza vita na ujinga
Sengerema maji ni shiiida, nimemuona leo mida ya saa 18:30 kwenye gari lake, watu wa people's naona huku wamechachamaa wanalitaka jimbo kwa nguvu, katika maongezi nikasikia mpinzani wake wa people's power wanatoka kijiji/kata moja ni mfanyakazi huko Iringa. waiting to see.but Sengerema maji ni shida kuliko hata Singida.
Watu kama wewe nawashangaa sana. Mnatamani kujimaliza mkisikia jina LA Ngeleja. Pole sana watanzania wenzangu mliogubikwa na ushabiki na mihemko ya kihisia za kisiasa. Ishi kwa uhalisia. Ngeleja ataaafanya mpelekwe ICU ninyiWananchi wa jimbo la Sengerema wamesusia mikutano ya mbunge wao kwa sababu zilizotajwa na watu wake wa karibu kuwa alikuwa harudi kuwaona hivyo ameona uchaguzi umekaribia ndio anarudi.
Wamemwambia amerudi kufanya nini, wamemwambia akaendelee na shughuli zake.
Naomba kuwasilisha.
nimeona kinachoendelea haoa kwetu na nikajua kwamba hakuna demokrasia ya kweli. Mtu akitaka kufanya mageuzi na kutumia haki take kikatiba anatengenezewa zengwe ili aonekne hafai.
Ngeleja amekuwa waziri na wote tunalijua hilo. Amefanya kazi kubwa sana. Ila baada ya kuona nithreat kwa baadhi ya watu likatengenezwa zengwe ili kumchafua.
Hivi tujiulizs kweli katika jimbo loote la sengerema ina maana hakuna walionufaika vizuri na uongozi wake?
Kwanza wale wote waliokuwa wakimuuliza maswali ni watu waliopandikizwa kisiasa ili kueneza chuki dhidi yake ila alitulia na kuwapa majibu.
Watanzania sisi tumegeuka wanyama kiasi cha kwamba mtu unamuokoa toka shimoni ila akitoka anatamani akutfune pia. Ngeleha kafanya mengi jimboni mwenye macho haambiwi tazama. Tuache ushabiki
Kwa taarifa yako Ngeleja ameanzisha mradi wa maji toka ziwa Victoria. Na utaisha mwezi June. Tuache ushabiki mnyonge mnyonge haki yake mpatie
Watu kama wewe nawashangaa sana. Mnatamani kujimaliza mkisikia jina LA Ngeleja. Pole sana watanzania wenzangu mliogubikwa na ushabiki na mihemko ya kihisia za kisiasa. Ishi kwa uhalisia. Ngeleja ataaafanya mpelekwe ICU ninyi
wanatumia mapori huko ndio maana ngeleja hakai.​ikiwezekana hata ile akiwa maliwato