Hata hivyo alitaja uzembe wa usimamizi wa sheria kuwa ndiyo uliolifikisha Taifa hapo kwa kuwa sheria zilizopo ni mzuri, lakini hazisimamiwi ipasavyo.
Hiyo like nimekupa sio kwamba nakukubali Sana, ILA Tu kwenye hili mawazo yangu na yako yamefanana.Kuna watu ilitakiwa sauti zao ziwe zinasikiliziwa kutoka korokoroni muda huu
Kumbe uvccm mna akili ila huwa mnajitoa ufahamuKuna watu ilitakiwa sauti zao ziwe zinasikiliziwa kutoka korokoroni muda huu
kwenye red sijamuelewa, inamaana anapingana na mwenyekiti wake? Jana mh rais alisema sheria zikapitiwe tena, yeyeanasema sheria ni nzuri. Pia anakiri mikataba inawanyonya watanzania, inamaana mikataba ipo nje ya sheria anazoziita nzuri? kwahiyo sheria nzuri zilipitisha mikataba hovyo, inaiingia akilini?Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja amesema kuwa hawezi kuzungumzia agizo la Rais Magufuli la kuhojiwa na vyombo vya usalama kutokana na kuhusika kwake katika mikataba ya madini.
Hata hivyo alitaja uzembe wa usimamizi wa sheria kuwa ndiyo uliolifikisha Taifa hapo kwa kuwa sheria zilizopo ni mzuri, lakini hazisimamiwi ipasavyo.
"Kuhusu kuhojiwa au kuwajibika sina neno la kusema lakini nampongeza sana kwa moyo wa dhati Muheshimiwa Rais maana amezungumza kwa hisia na uzalendo kabisa kuhusu tunachostahiki kupata badala ya tunachopata ", alisema Ngeleja ambaye pia ni mbunge wa Sengerema.
Hata hivyo alikiri mikataba mingi iliyopitishwa siyo mizuri kwa kuwa inawanyonya Watanzania ambao wameshindwa kupitia sheria mpya (ya madini ya mwaka 2010)
kuifanyia kazi.
" Kifungu cha 11 pia kinachosema mikataba yote ipelekwe bungeni baada ya miaka ya mitano na kifungu cha 10 kinasema Serikali ishiriki kimkakati kwenye migodi, lakini usimamizi wake ni shida", alisema Ngeleja
Kuhusu mchanga kusafilishwa nje ya nchi, alisema walishaliona jambo hilo mapema lakini wakabainisha kuwa mashine za kufanya kazi hiyo zina gharama kubwa duniani zaidi hivyo kuhitaji ubia katika ujenzi baina ya Serikali na sekta binafsi.
Chanzo: Mwananchi
Chenge yeye chini ya bilioni hakubali hiyo dili, Chenge ni mafiosahuyu jamaa escrow alipewa hela ndogo sana lakini ikamtesa vibaya mno.. bora wenzake kina chenge walilipwa mabilioni
Angesema mchawi ni Sheria mbovu bila shaka angeeleweka sana.kwenye red sijamuelewa, inamaana anapingana na mwenyekiti wake? Jana mh rais alisema sheria zikapitiwe tena, yeyeanasema sheria ni nzuri. Pia anakiri mikataba inawanyonya watanzania, inamaana mikataba ipo nje ya sheria anazoziita nzuri? kwahiyo sheria nzuri zilipitisha mikataba hovyo, inaiingia akilini?
Tatizo nani anauwezo wa kuwakamata? mtu kama lowasa alipaswa kuwa lupangoKuna watu ilitakiwa sauti zao ziwe zinasikiliziwa kutoka korokoroni muda huu