Ngeleja says govt likely to buy IPTL power plants | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngeleja says govt likely to buy IPTL power plants

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, Dec 25, 2009.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Haya tusubiri hiyo bei na cost zingine iwe za uendeshaji au za conversion from heavy fuel to gas kulinganisha na kununua Mpya. Sijui watatupa au itakuwa siri maana mikataba kama hii huwa tunaambiwa ni sharti wanalopewa katika mkataba ili kulinda haki za kibiashara za Muuzaji.

  Ngeleja says govt likely to buy IPTL power plants
  By Dominic Nkolimwa  25th December 2009


  [​IMG]
  Email  [​IMG]
  Print  [​IMG]
  Comments
  [​IMG]
  Energy and Minerals minister, William Ngeleja  Energy and Minerals minister, William Ngeleja has said that the government was contemplating to buy power generating plants run by the Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
  Ngeleja said yesterday that despite the fact that the matter was in court discussions regarding the issue were progressing well.
  He said although the generators were not new, the government was interested to buy them permanently.
  “We are going to buy them for reasonable price because they are old,” said Ngeleja.
  A few months ago the country faced serious power shortage prompting the government to negotiate with IPTL out of court to salvage the country from power rationing and the deepening power crisis.
  IPTL had filed the case against the government demanding USD 27,169,882.67 as damages for latter’s failure to pay capacity charges.
  IPTL alleged that the government had breached Power Purchase Agreement signed by both parties in 1995.
  In 1996 the government contracted IPTL, a joint venture between Malaysia’s Mechmar Corporation and Tanzania`s VIP Engineering and Marketing Ltd, to generate emergency power.
  The firm was required to construct a 100-megawatt power plant as an independent power producer for 20 years under a contract stipulating that the government would pay a monthly 3bn/- in capacity charges.
  SOURCE: THE GUARDIAN


  0 Comments | Be the first to comment
   
 2. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2009
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  IPTL machines are using petrol which in anycase more expensive than natural gas dowasan. The problem in Tanzania is to let politicians make business decisions.
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  I though they had already made a decision!
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Si unajua jamaa wanaelewa watu wapo macho kwa hiyo wa jaribu kuona kina cha maji kipoje? cha hatari hatari au wanaweza kuogelea?
  Nasi tunawapa angalizo kwamba tupo macho, na kama wao ni wakweli hawataki ufisadi waweke mambo wazi? kwamba tuna hiki upande wa kulia na tuna njia hii upande wa kushoto, hivyo tunaona njia hii ndio inatufaa.
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Tusirudi nyuma jamani kwa mawazo yaliyopo ni kuinunua hiyo mitambo na kuibadili itumie gas asilia kitu ambacho ni jambo jema. Lakini kinacho sikitisha ni kwamba CCM na serikali yao ni maneno matupu hakuna actions on the ground.
   
 6. A

  August JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Licha ya angalizo hilo ulilotoa , bado naona wenzetu hawaweki mambo wazi, ndio mimi ninapo ona tatizo lipo.
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ngeleja anazungusha maneno tu, kwa nini bado takataka za Dowans zipo pale ubungo?? Ameamua nini juu ya hayo majenereta ya akina Lowasa?? Why talk of IPTL na siyo hatima ya hizo takataka za Dowans??? kwa nini zisiondolewe pale ?? kuna nini kinatatiza?? au mnafikiri tutasahau??
   
 8. M

  Magezi JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni sahihi mkuu, ukiangalia tatizo kubwa la CCM na serikali yake ni kutokuwa na uwazi ktk mambo yanayo lihusu taifa. Wanafikiri watanzania wataendelea kuwa wajinga tu siku zote.

  Kwa mfano kwa issue ya IPTL ukweli ni kwamba wanafanya ujanja ili mwishowe wawalipe deni lao kwa sababu kuna vigogo CCM walikula 10% ktk mkataba wa IPTL.
   
 9. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hii stori haiishi tu!
   
 10. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2009
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Hivi Tanzania tumeshindwa nini kununua mitambo mipya ya kutumia gas na kuachana na mitambo chakavu au second hand. Hivi nani alituloga?

  Waziri mzima na akili zake anakuja na upuuzi kama huu na bado anaendelea kuwa waziri. Hiyo kazi alipewa ya nini kama analeta utumbo kama huu? Wafuate procurement procedures na wanunue mitambo mipya fullstop. Stop playing with tax payers money!
   
 11. A

  August JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  watu wana njaa, au wanamadeni , lazima wayalipe. na kumbuka hadi ni deni
   
Loading...