Ngedere akiwa kwenye bodaboda

Hivi akikamatwa na traffic atasema amebeba mshikaki wa watu wangapi? Kuna mtu anaweza nijibu tafadhali?
 
Alafu tukiambiwa sisi ni chimbuko la hawa wadudu tunakua wakali...!
 
Hivi akikamatwa na traffic atasema amebeba mshikaki wa watu wangapi? Kuna mtu anaweza nijibu tafadhali?
Kosa moja wao hapana mvalisha helmet.
Hapana anayekula makaku dasalame, makaku tunakula kwetu ku-congo
 
yaaani huyu mleta uzi atakuwa wanyuma maana alivoisikilizia picha ni nouma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…