mucho886 Senior Member Joined Dec 1, 2013 Posts 169 Reaction score 41 Nov 4, 2014 #1 Wadau habari zenu.. Naomba kuuliza ngazi ya mshahara serikalini PTSS 10-1 tutors ni sawa na sh ngapi kwa mwezi?
Wadau habari zenu.. Naomba kuuliza ngazi ya mshahara serikalini PTSS 10-1 tutors ni sawa na sh ngapi kwa mwezi?
GANJA ROLLER JF-Expert Member Joined Sep 8, 2014 Posts 709 Reaction score 274 Nov 4, 2014 #2 Kama shilingi 2540.50 kwa mshahara mpya wa julai 2014