Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Hii habari ya Caroll ni tofauti na Ngasa kumbuka Caroll ameshamaliza mkopo wake West Ham but still WH wanataka wamsajili moja kwa moja ndio maana wako tayari kutoa hilo dau.Mkopo wa Ngasa Simba umeisha mwezi huu 5 so hiki ndio kipindi ambacho Simba walipaswa kusaini mkataba na Ngassa
Mkuu cha kujiuliza hapa ni je taratibu wakati wa kumsainisha Ngassa zilifuata?Wao hawana elimu ya kutosha lakini wewe uliyonayo umeshindwa kuitumia.......pathetic!
Kanuni za usajili zinasema kuwa mchezaji anakuwa huru kufanya makubaliano na klabu nyingine (tofauti na iliyomsajili) ndani ya miezi 6 ya mwisho ya mkataba wake. Hans Pope (Huyu jamaa anaitwa Zakaria) anadai Ngassa alisaini mkataba mwingine wa kumbakiza Simba kwa msimu 2013-2014. Swali la kujiuliza hapo, Ngasa angeweza vipi kusaini mkataba huo katika kipindi ambacho yeye (Ngasa) alikuwa mchezaji wa Azam bila ridhaa ya Azam?
Kabla hujawashambulia wachezaji na kuwaita wenye elimu ndogo, napenda nikukumbushe kuwa, wanaoongoza kwa kusaini mikataba wasiojua imeandikwa nini hapa Tanzania ni 'wasomi' na sio wachezaji wa Simba Koko na Yanga Africa.
Tuache kuwasakama wachezaji kwa kuwa tu hawakufanya yale tunayotaka sisi. Kama nchi inamsomesha mtu kiasi anaaminika kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, halafu anatusainia mkataba wa madini wa miaka 100 kwa uwiano wa WAO 97%, SISI 3% na hatuna namna ya kuchunguza quantity, tuna haja gani ya kuwashikia bango wachezaji ambao hatukuwapa elimu wala mtaji?
Wakati Rage na huyo huyo 'Hans Pope' wanaingizwa mjini usajili wa Mbuyu Twite na wao walikuwa hawana elimu? Si walikuwa na makelele kama haya haya mpaka tukaambiwa kwamba Mbuyu Twite hatacheza na akachukuliwa RB, sasa kuna lipi jipya hapa la kuanza kumshutumu Ngasa hakusoma? Hawa wasomi si ndio hawa wanaandaa bajeti ya 1bn kwa makaburi huku wengine wanakunywa maji machafu kwa kukosa 8m za kununua pump ya kisima cha kijiji?
Cha msingi ni je Simba walimpa mkataba Ngasa mwezi gani? Kumbuka Yanga wamemsajili juzi mwezi 5 baada ya mkataba wake na Azam/Simba kwishaNadhani ndicho anacho ongelea Hans Poppe
Hapa umetumia akili nyingi mno kuelezea,hongera sana!Wao hawana elimu ya kutosha lakini wewe uliyonayo umeshindwa kuitumia.......pathetic!
Kanuni za usajili zinasema kuwa mchezaji anakuwa huru kufanya makubaliano na klabu nyingine (tofauti na iliyomsajili) ndani ya miezi 6 ya mwisho ya mkataba wake. Hans Pope (Huyu jamaa anaitwa Zakaria) anadai Ngassa alisaini mkataba mwingine wa kumbakiza Simba kwa msimu 2013-2014. Swali la kujiuliza hapo, Ngasa angeweza vipi kusaini mkataba huo katika kipindi ambacho yeye (Ngasa) alikuwa mchezaji wa Azam bila ridhaa ya Azam?
Kabla hujawashambulia wachezaji na kuwaita wenye elimu ndogo, napenda nikukumbushe kuwa, wanaoongoza kwa kusaini mikataba wasiojua imeandikwa nini hapa Tanzania ni 'wasomi' na sio wachezaji wa Simba Koko na Yanga Africa.
Tuache kuwasakama wachezaji kwa kuwa tu hawakufanya yale tunayotaka sisi. Kama nchi inamsomesha mtu kiasi anaaminika kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, halafu anatusainia mkataba wa madini wa miaka 100 kwa uwiano wa WAO 97%, SISI 3% na hatuna namna ya kuchunguza quantity, tuna haja gani ya kuwashikia bango wachezaji ambao hatukuwapa elimu wala mtaji?
Wakati Rage na huyo huyo 'Hans Pope' wanaingizwa mjini usajili wa Mbuyu Twite na wao walikuwa hawana elimu? Si walikuwa na makelele kama haya haya mpaka tukaambiwa kwamba Mbuyu Twite hatacheza na akachukuliwa RB, sasa kuna lipi jipya hapa la kuanza kumshutumu Ngasa hakusoma? Hawa wasomi si ndio hawa wanaandaa bajeti ya 1bn kwa makaburi huku wengine wanakunywa maji machafu kwa kukosa 8m za kununua pump ya kisima cha kijiji?
Hii habari ya Caroll ni tofauti na Ngasa kumbuka Caroll ameshamaliza mkopo wake West Ham but still WH wanataka wamsajili moja kwa moja ndio maana wako tayari kutoa hilo dau.Mkopo wa Ngasa Simba umeisha mwezi huu 5 so hiki ndio kipindi ambacho Simba walipaswa kusaini mkataba na Ngassa
mkuu, kumbuka hao wote uliowataja ni wazuri ila watz tumeharibikiwa kiasi kwamba uzuri wa mchezaji ni pale anapoifunga simba ua yanga tu. pia performance zinakuwa determined na siku ya mechi ya timu hizi, ndio maana wachezaji wenye mindset tofauti tunaowadharau hapa wakienda sehemu nyingine wanafanya vizuri. Fuatilia juhudi alizozifanya Kajumulo ambaye wengi tulisema ni muhuni tuHans Pope ni Mwenyeketi wa kamati ya usajili ya Simba ambayo imefanya usajili wa wachezaji wabovu kama
- Dan Mrwanda
- Salum Kinje
- Daniel Akuffor
- Kanu Mbiyavanga
- Pascal Ochieng
- Abdala Juma
- Konabil Keita
- ​Derick Waluya
Sasa sijui huo umakini ni upi,pia kumbuka sakata la Mbuyi Twite na Kelvin Yondani
Mkataba unasigniwa hotel? mbona hata ile gari walompa ili ajiunge (VEROSSA) hana tena sijui mwenyewe amechukua maana ilikuwa ya Kaburu na sasa huyu Kaka hayuko tena Simba, watulie Simba huyu mtoto hana mapenzi na soka ana mapenzi na team..kama ni Soka hasingetoka Azam
Hata mimi nawashangaa hawa viongozi wa timu yangu, Ngasa alishasema yeye anaipenda Yanga na anataka acheze huko si wamwache, kama walimpa hela bila ridhaa yake na alikuwa anazitaka kwa nini asichukue na alijua taratibu za ufadhili hazikufuatwa, wamwache homeboy akacheze tu kwa watani nao watafute winga mwingine, afterall mbona mpaka sasa tuna mawinga zaidi ya watatu, Chanongo, Singano, yule dogo aliyetoka Coastal, Frank Sekule, Kigi Makasi; bado tunang'ang'ania tu mchezaji ambaye hataki kuwa na sisi, hawa viongozi wana matatizo sana ndo maana vilabu haviendelei, ni sawa kulazimisha kuishi na mwanamke ambaye hakutaki eti kwa sababu tu umemtolea mahari. I call it pathetic.Kama mtu hawataki mnamng'ang'ania wa nini?
Alienda kwa mkopo afu akapewa mkataba duu,. Hii inatokea bongo tu
Hii habari ya Caroll ni tofauti na Ngasa kumbuka Caroll ameshamaliza mkopo wake West Ham but still WH wanataka wamsajili moja kwa moja ndio maana wako tayari kutoa hilo dau.Mkopo wa Ngasa Simba umeisha mwezi huu 5 so hiki ndio kipindi ambacho Simba walipaswa kusaini mkataba na Ngassa
Sijui wewe na mimi nani anakurupuka sasa
Nadhani ndicho anacho ongelea Hans Poppe
sio mpenzi wa simba lakini katika watu walio makini pale Hans Pope ni mmojawapo na hana uswahili mwingi kama tulivyo wengi wetu, anaweza akawa na point!
ngasa hana mapenzi na simba.klabu ya simba imedai kuwa mchezaji mrisho halfan ngassa bado ni mchezaji wao halali kwakuwa wana mkataba naye hadi mwisho wa msimu ujao.
Hayo aliyasema mwenyekiti wa kamati ya usajili ya simba, hanspope alipokuwa akihojiwa na radio one jana. Hanspope alidai kuwa ngassa alipelekwa simba kwa mkopo akitokea azam fc lakini baadaye alisaini mkataba wa hadi msimu wa 2013/2014.
Ngassa tayari ameshatambulishwa rasmi kuwa amejiunga na yanga.
Yetu macho...
Hans Pope anapiga porojo tu kama kiongozi wake Rage.
Wao hawana elimu ya kutosha lakini wewe uliyonayo umeshindwa kuitumia.......pathetic!