Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,299
- 2,541
Kuna mmoja(nimemsahau jina) alikataa kucheza Scandinavian countries kisa uzalendo na kupata gate collection (if am not mistaken). Nakumbuka alikataa million 7 ilikuwa 2009.some of us have mental disability
Kukosa exposure kunatugharimu sana. Pia hili neno uzalendo limeturudisha nyuma.
Wakati wa Kenya na Wanigeria wakienda nje walitafuta makazi na kuendeleza kwao, sisi tuliambiwa kuloea nje ni sawa na kuolewa na beberu.
Wapambe wa Ajib walituambia jamaa kaikacha offer ya Mazembe kisa maslahi.
Ngoja tuvute subra muda uongee!
Ila huyo Mwandishi wa makala siyo Edo Kumwembe kweli?
Yah asante sanaHaruna Moshi Boban, Professional player....
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
MmmmhNgassa huyu si alitakiwaga hadi na west ham united au
Ngassa huyu si alitakiwaga hadi na west ham united au
Kukosa exposure kunatugharimu sana. Pia hili neno uzalendo limeturudisha nyuma.
Wakati wa Kenya na Wanigeria wakienda nje walitafuta makazi na kuendeleza kwao, sisi tuliambiwa kuloea nje ni sawa na kuolewa na beberu.
Wapambe wa Ajib walituambia jamaa kaikacha offer ya Mazembe kisa maslahi.
Ngoja tuvute subra muda uongee!
Ila huyo Mwandishi wa makala siyo Edo Kumwembe kweli?
Bangi apewe kabla ya kucheza vinginevyo hachezi.siku hizi yuko huko Coastal Union🙄Haruna Moshi Boban, Professional player....
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Anawaambiaje sasa? I mean kwa lugha ipi, Yaani anawasilianaje nao, maana yule dalali hayupo tena!Aende Sudan akaombe kazi ya kufua jezi
Anawaambiaje sasa? I mean kwa lugha ipi, Yaani anawasilianaje nao, maana yule dalali hayupo tena!
Si ndiyo mwanzo wa kusema "hey you arabs, the me, the wash jezi until clean pyuu"
Ndio maana hata passport bongo ni usumbufu sana kuipata kwa mtz wa kawaida, serikali yenyewe inadiscourage watu kutoka nje.Kukosa exposure kunatugharimu sana. Pia hili neno uzalendo limeturudisha nyuma.
Wakati wa Kenya na Wanigeria wakienda nje walitafuta makazi na kuendeleza kwao, sisi tuliambiwa kuloea nje ni sawa na kuolewa na beberu.
Give me cotton light wash wash soap soap cleanAnawaambiaje sasa? I mean kwa lugha ipi, Yaani anawasilianaje nao, maana yule dalali hayupo tena!
Si ndiyo mwanzo wa kusema "hey you arabs, the me, the wash jezi until clean pyuu"