tanzaniabwana
Member
- Aug 2, 2016
- 16
- 2
Sasa si ungeweka mambo yote hapa?
Haya mambo ya kuanzisha thread kisha mtu hatoi maelezo anaweka link it's kinda boring.
Ndo unafanya hivo kwa sku ngapi sasa?achana na vichubuzi..tumia nanasi kung'arisha uso
How to brighten your skin using pineapple - JUST EJ
Mh! Dada zangu kazi mnayo. Naskia siku hizi hadi viungo vya pilau mnaweka kule chini private office.Lol,..chumvi, ukwaju, nanasi, mayai, maziwa, parachichi hivyo vya ngozi, halafu sukari kwenye lips, matango kwenye macho. Ukimaliza hapo ingia steaming room.
Ukitoka lazima uwe M delicious...
Mh! Dada zangu kazi mnayo. Naskia siku hizi hadi viungo vya pilau mnaweka kule chini private office.
hahaha dada zetu hata ukiwaambia mavi ya paka nayo yanafanya uso nyororo watapaka tuuMh! Dada zangu kazi mnayo. Naskia siku hizi hadi viungo vya pilau mnaweka kule chini private office.
hahaha dada zetu hata ukiwaambia mavi ya paka nayo yanafanya uso nyororo watapaka tuu
Hahaha kwa viungo vyote hivyo, lazima unogeLol,..chumvi, ukwaju, nanasi, mayai, maziwa, parachichi hivyo vya ngozi, halafu sukari kwenye lips, matango kwenye macho. Ukimaliza hapo ingia steaming room.
Ukitoka lazima uwe M delicious...
Hahaha kwa viungo vyote hivyo, lazima unoge
Aaah me huwa napaka asali kwa lips naendelea na shughuli nyingine. Ntajaribu ya kusugua hiyo, lips zitanogajeShoga umejaribu hiyo ya sukari kwenye lips?
Niliona kwa Tyra Banks wakati anafanya show yake, it works bwana. Ukiweka mswaki kwenye sukari halafu ukasugua lips, zinakuwa sooft.
Sugar is a good exfoliate.
Aaah me huwa napaka asali kwa lips naendelea na shughuli nyingine. Ntajaribu ya kusugua hiyo, lips zitanogaje
Yes kama moisturizer, mmh huwa hata sikumbuki imeisha saa ngapi lol (au nalambaga hahaha), but haiwi sticky kama ukipaka usoni.Asali inakuwa kama moisturizer? Haiwi sticky?
Yes kama moisturizer, mmh huwa hata sikumbuki imeisha saa ngapi lol (au nalambaga hahaha), but haiwi sticky kama ukipaka usoni.
Haha lamba tu hadi ujing'ateI see, ntajaribu. Can't imagine ntavyo jilamba lips tho.. hehe.
Haha lamba tu hadi ujing'ate