NGAO - SELF DEFENSE SYSTEM

Jenerali Ken

Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
40
Reaction score
83
Ngao - self defense system, ni mfumo wa kujilinda dhidi ya wahalifu, magonjwa, kesi, ajali, mazingira hatarishi, tabia mbaya, wanyama wa Kali na wadudu wa Kali. Lengo kuu la mafunzo ya ( ngao -self defense system ) nikumfanya kila mtanzania , wakiwemo raia, viongozi wa serikali, vikosi vya ulinzi na usalama, wanafunzi, na hata wazee wote wawe na uwezo wa kujilinda na kuwalinda wengine.

MALENGO YA MLINZI SHUJAA, JUU YA MFUMO WA ( NGAO ).
kwa hakika kabisa anaamini kuwa kama watanzania watajifunza Kwa Moyo mmoja, mafunzo ya ngao, basi watanzania watakuwa imara zaidi kiafya, kimwili, kitabia, kimbinu na kifikra. Hapo, ajali zitapungua, uhalifu utapungua, kesi mahakamani zitapungua na wagonjwa hospitalini watapungua.
sababu mafunzo ya ngao ni kings, tiba na ulinzi madhubuti.
 

Attachments

  • Messenger_creation_1770963444178230.jpeg
    286.1 KB · Views: 1

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…