Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
Google utaona price zao.
Kwani bando lako unalitumia kufanyaje?
Usipende kutafuniwa kila kitu shuhulisha akili hiyo.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Vumbi la mkongo - JamiiForums
Mkuu ulifanikiwa? Hili tatizo liliisha au umeamua kuoa kibishi tukusaidie kazi kwa mkeo
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Vumbi la mkongo - JamiiForums
Mkuu ulifanikiwa? Hili tatizo liliisha au umeamua kuoa kibishi tukusaidie kazi kwa mkeo
Mkuu, kwanza hongera kwa uamuzi wa kuoa, maana wengi twaogopa hiyo ndoano.Wakuu za saa hizi. Kwa mwenye uzoefu nilikuwa nauliza gharama za ngalawa hotel and resort zanzibar.
Maana nafunga ndoa mwezi ujao nataka kwenda kufanyia honeymoon pAle
Hamna muoaji hapaMkuu, kwanza hongera kwa uamuzi wa kuoa, maana wengi twaogopa hiyo ndoano.
Pili, ningekupa tovuti yao ila humu haparuhusiwi links, labda nikupe namba zao ni 0773 404 430.
Ukikaribia tarehe ya ndoa tafadhali ni PM mwaliko huenda nikahudhuria.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwanza hongera kwa uamuzi wa kuoa, maana wengi twaogopa hiyo ndoano.