Ngada imeadimika!

njeeseka

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,371
979
Nimesikia mateja wakilalamika eti unga umepanda bei sana kwa sasa, na hata hivyo haupatikani kwa urahisi.
Vita ikikolea zaidi tunaweza kuwa " ngada free area"
 
Pongez nyng kwa kamishna sia.ng'a tumeona jitihada zako pamoja na yule kiaz wa kolomije kukurudisha nyuma kwa kusaidia watuhumiwa kupoteza ushahid lkn bado unapambana vyema
 
Back
Top Bottom