42.70% ya wachangiaji wamependa meno yako,aidha kuna walioyapenda wazi wazi huku wengine wakijifanya wameyapenda tu na si vinginevyo ili hali taarifa za kiintelijinsia zikibainisha kwamba, watu wanaokataa jambo at first site kwa ndani ndo huongoza kwa kugugumia.... Aidha 26.20% tunataka kujua episode ya pili kwenye part one inakuwaje wakati 31.10% wametekenywa na lugha ya Malkia uliyotumia....