Ngabu Chronicles: Part I

Kwa hio Ngabu huyo wa kwanza unaemuita Queen yupo tu akutimizie haja zako sio!! Just for granted!
 
Hako kaembe kabichi ka Kikorea usisahau chumvi na pilipili ili meno yasipate ganzi ule tena na tena...kokwa usitupe,utupiemo mwanawani!
 
TunasubiriNN hapa ni mwendo wa sentencial meaning tu hamna cha word by word.
 
Hehehehee Ngabu na unni wa South Korea,nasubiri part II.

my dia na wewe unaangalia hawa wa korea? Dah nawapendaga hakuna mfano. Angalia he is beautiful, bridal mask, boyz be4 flowerz. Tamu mbaya.
 
Mama mimi ndio mwalimu wa hayo makitu,katika zote ulizonitajia nimeshacheki zote kasoro hiyo he is beautiful.
Na naona huwapendi kama mimi,ndio maana nimekuwa interested na hii story ya Ngabu.
This time naangalia The Return of Iljimae.
 
Aisee nimeshapata compliments nyingi sana kuhusu haya meno hadi huwa nashangaa.

Manake kwangu siyo big deal kivile lakini kumbe kuna watu kuwa na meno yaliyopangika vizuri na yaliyo meupe ni big deal.
Ndio maana na mimi nimetamani kuyaona.
Kwa picha tu lakini,sio vinginevyo.
 
Aisee.......nasubiri......
Ila punguza makali ya kimalkia bana........tchaaa.....
Btw.....that Martini & Rossi Asti.....weeeew...
 
Congratulations for having white teeth nasubiri part two kujua what happened
 
we nyani hauna samari yake ya kiswahili na sisi wa st kayumba tuifaidi?
 
Bwabwa a.k.a Christiano Ronaldo Ktk Ubora Wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…