Hana ubavu wa premier league
Leo Brazil wanakufa
Neymar anapambwa sana ila hana lolote kumbe
Inawezekana ni overrated lakini sidhani kama mnaomuona overrated mmejaribu kuangalia mechi mbalimbali anazocheza.Kwangu sio average player huko ni kumchukia dogo yuko vizuri japokuwa ni kweli messi amefanya mamba makubwa tayari neymar ana kazi ya kujipambanua zaidi na hii ni changamoto sio udhaifu.Ni kweli Neymar is overrated. hata mimi huwa sioni ukali wake. Messi ni balaa. Messi is Mercilesy