Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Muda si mrefu Ostadh ataimbwaa chezea Ney weyeeee!!!!!!
Huyu Jamaa Ustaz Juma bora jina lake likomee hapo hapo may be ajiite Ustaz Juma na Matapeli. Musoma hakunaga Ujinga wa hivyo.
Ney a.k.a True Boy
Hizi ni akili za kitoto kabisa ni wazi Ney hakuanza kumchukia Ostadh juma leo.
Ney yeye antakiwa atuthibitishie kama yuko parfect.
Ostadh juma alicho fanya alikosea na aliomba msamaha.
Hivyo sioni sababu ya kuchukia kiasi hiki.
Sio kwamba na mtetea tuu hata mimi kitendo alicho tuhumiwa kukifanya kilinikera sana.we jamaa unamtetea Sana ustadhat Juma dah
kwani alicho kisema ostaadh Juma ni cha uongo?