Nacheck check ustaarabu wa kumwona niliye nae kama ataweza kwendana na mie pamoja ni mikazi yangu next year muda kama huu ntawaambia kuwa nachumbia wana JF...ila jamani twende kwenye fact this days unaweza kukuta mdada akiwa virgin since amezaliwa hakuna mme aliye mjua..?am just in somewhere i have been promise kwamba there some thing like that kwenye body a mwanadada mmoja.
Nimeambiwa niwe nasubira kupewa kilicho bora.Na ahadi ni kwamba nisubiri mpaka ntakapo mweka ndani...je katika mazingira ya kawaida naruhusiwa kusuburi mpaka ndoa na je kama nikiwa nasubili ambacho hakipo itakuwaje?Nisaidieni wenye mawazo
Niagizie alipo nikakuchekie then nitakutaarifu.. (lol)
Du, nimecheka saaaana. Angalia sana buswelu unaweza uka pata fake maana hizo ndo zilizojaa mjini siku hizi. I love technology coz hadi virginity siku hizi zinatengenezwa.
ha haaaa, uliuziwa mbuzi kwa gunia? pole sana, ila angalau umempataDuu......Miaka sita iliyo pita Mwali hii thread umeipata nilibatika.....ingawa nilipishana na mategemeo.....Dunia hii.......
Hahahah pole sana Mkuu, majuto ni mjukuu.Duu......Miaka sita iliyo pita Mwali hii thread umeipata nilibatika.....ingawa nilipishana na mategemeo.....Dunia hii.......
ahahaaaaa pole mkuu
si angekuwekea hata ya mchina jamani?
ahahaaaa hata limao na chumvi ya mawe bwana.....ujue nimecheka sana ujuenadhani 2008 hizo za mchina zilikuwa hazijashika kasi...
alikuta kitu flaaaaat....ful kuzama kidogo aishie huko mwili mzimamhhh sijaelewa hapa, ulibahatika kupata nn na ulipishana na nini?
ahahaaaa hata limao na chumvi ya mawe bwana.....ujue nimecheka sana ujue
alikuta kitu flaaaaat....ful kuzama kidogo aishie huko mwili mzima
ila wanaume sometimes wanakuwa too demanding jamani! Hivi unawezaje kumpendea mtu kitu kama hicho?hapo sasa...alikosa hata ndimu ya kudanganyia.....bidada alitaka ndoa tu...
alikuta kitu flaaaaat....ful kuzama kidogo aishie huko mwili mzima