Next Year muda kama huu

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
351
Nacheck check ustaarabu wa kumwona niliye nae kama ataweza kwendana na mie pamoja ni mikazi yangu next year muda kama huu ntawaambia kuwa nachumbia wana JF...ila jamani twende kwenye fact this days unaweza kukuta mdada akiwa virgin since amezaliwa hakuna mme aliye mjua..?am just in somewhere i have been promise kwamba there some thing like that kwenye body a mwanadada mmoja.

Nimeambiwa niwe nasubira kupewa kilicho bora.Na ahadi ni kwamba nisubiri mpaka ntakapo mweka ndani...je katika mazingira ya kawaida naruhusiwa kusuburi mpaka ndoa na je kama nikiwa nasubili ambacho hakipo itakuwaje?Nisaidieni wenye mawazo
 
Kaka kupata Virgin katika current generation yetu hii ni ngumu sana, tuliobahatika ni wachache sana.
Angalia usije uziwa mbuzi kwenye gunia, sharti upapase yakheee ujue ka ni ''kisiwa au bwawa''!!
 
Nacheck check ustaarabu wa kumwona niliye nae kama ataweza kwendana na mie pamoja ni mikazi yangu next year muda kama huu ntawaambia kuwa nachumbia wana JF...ila jamani twende kwenye fact this days unaweza kukuta mdada akiwa virgin since amezaliwa hakuna mme aliye mjua..?am just in somewhere i have been promise kwamba there some thing like that kwenye body a mwanadada mmoja.

Nimeambiwa niwe nasubira kupewa kilicho bora.Na ahadi ni kwamba nisubiri mpaka ntakapo mweka ndani...je katika mazingira ya kawaida naruhusiwa kusuburi mpaka ndoa na je kama nikiwa nasubili ambacho hakipo itakuwaje?Nisaidieni wenye mawazo

Niagizie alipo nikakuchekie then nitakutaarifu.. (lol)
 
Du, nimecheka saaaana. Angalia sana buswelu unaweza uka pata fake maana hizo ndo zilizojaa mjini siku hizi. I love technology coz hadi virginity siku hizi zinatengenezwa.
 
Kamtu, wapi huko ''niende'' na mimi?
 
Vipi Buswelu, ulibahatika kumpata? ulikuta haliyake vipi?

Duu......Miaka sita iliyo pita Mwali hii thread umeipata nilibatika.....ingawa nilipishana na mategemeo.....Dunia hii.......
 
Last edited by a moderator:
hapo sasa...alikosa hata ndimu ya kudanganyia.....bidada alitaka ndoa tu...
ila wanaume sometimes wanakuwa too demanding jamani! Hivi unawezaje kumpendea mtu kitu kama hicho?
Na mimi naanza hii trick
siku ya siku naweka kitu cha mchina
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom