Najaribu kufanya application, kwenye OLAS, nafanya after filling academic issues next page doesnt respond it goes back to the previous page I don't know kwamba ni network problem au kama kuna kitu nakosea,
Msaad kama kuna kitu ambacho naweza kufanya ili nikomplete hii registration.